Jeremiah 48:2

2 aMoabu haitasifiwa tena;
huko Heshboni watu watafanya shauri baya la anguko lake:
‘Njooni na tuangamize taifa lile.’
Wewe nawe, ee Madmena, utanyamazishwa;
upanga utakufuatia.
Copyright information for SwhNEN